IGCSE Swahili (0262) — May–June 2025, Paper 02
18 questions · every question answerable online with instant point-by-point AI marking against the official mark scheme.
Start with Question 1 →Utasikia vipande vinane vifupi vilivyorekodiwa. Jibu swali 1-8 katika nafasi uliyopewa. Majibu yako yawe mafupi iwezekanavyo. Utasikia kila rekodi mara mbili. Rukia alihamia Kenya…
Answer this question and get it marked →Nini sababu kuu ya kupenda nchi tambarare?
Answer this question and get it marked →Kwa nini Asha hakuenda kwenye maandamano?
Answer this question and get it marked →Msemaji anataka kufanya nini kwanza?
Answer this question and get it marked →Mama anafanya kazi gani sasa?
Answer this question and get it marked →Msemaji ana hisia gani kuhusu shule ya zamani?
Answer this question and get it marked →Jiko lipo wapi katika hoteli?
Answer this question and get it marked →Msemaji anapenda shughuli gani kujitayarisha kwa mitihani?
Answer this question and get it marked →Utamsikia msichana anazungumza kuhusu kundi la wanamuziki la watoto huko Uganda. Msikilize na malizia sentensi. Andika neno moja au maneno mawili tu katika kila nafasi. Utasikia…
Answer this question and get it marked →Utawasikia watu sita wakizungumza kuhusu malazi chuo kikuu. Oanisha wasemaji na mawazo katika orodha A-G. Kwa kila msemaji, andika herufi (A-G) katika mstari wa jibu. Tumia kila…
Answer this question and get it marked →Utasikia mahojiano katika redio kuhusu kazi ya mwanaakiolojia. Sikiliza mazungumzo hayo na soma maswali. Kwa kila swali chagua jibu sahihi kati ya A, B, au C. Weka alama ya tiki…
Answer this question and get it marked →Ahmed anasema kwamba wakati wake shuleni ulikuwa ... A sawa na watoto wengine. B mfupi kuliko ilivyotakiwa. C muhimu kumpa cheti.
Answer this question and get it marked →Ahmed aliona faida gani ya kazi yake ya kwanza? A Kujifunza somo muhimu kuhusu maisha. B Kuwasaidia wazazi kifedha. C Kusafiri kwingi ndani ya nchi.
Answer this question and get it marked →Ahmed alianza kazi ya mwanaakiolojia kutokana na ... A kuchimba mapango. B kuandika kitabu. C kukutana na mwanahistoria.
Answer this question and get it marked →Katika uchimbaji wake wa kwanza, Ahmed ... A alifurahia. B alichoka. C alishangaa.
Answer this question and get it marked →Falsafa ya mwanahistoria ni ... A kufanya kazi kwa bidii. B kufundisha kizazi kijacho. C kuwa maarufu.
Answer this question and get it marked →Athari ya mwanahistoria kwa Ahmed ni ... A motisha ya kujiendeleza. B alimfundisha nadharia. C alimfundisha jioni.
Answer this question and get it marked →Majuto ya Ahmed ni ... A kutoendelea na elimu utotoni. B kutowasikiliza wazazi alipokuwa kijana. C kuacha mshahara wa ubaharia.
Answer this question and get it marked →