IGCSE Swahili (0262) — May–June 2025, Paper 01
6 questions · every question answerable online with instant point-by-point AI marking against the official mark scheme.
Start with Question 1 →Mwandishi aliona nini alipowasili kwenye makumbusho?
Answer this question and get it marked →Soma taarifa (8-16). Weka alama ya tiki (✓) kwenye kisanduku kuonyesha aya (A-D) inayohusiana na kila taarifa. Mwanafunzi yupi… anahisi mitindo ya zamani inachekesha? (A / B / C /…
Answer this question and get it marked →Andika maelezo mafupi chini ya vichwa vya habari (17-19) vinavyotokana na makala uliyoyasoma. Hisia za mwandishi kuhusu yeye kuishi kwenye nyumba nduchu: (andika mambo matatu)
Answer this question and get it marked →Sasa tunga ufupisho wa faida na hasara za nyumba nduchu. Unaweza kutumia maelezo yako mengine kutoka zoezi 3 ili kukusaidia. Ufupisho wako usizidi maneno 100. Tumia maneno yako…
Answer this question and get it marked →Umepata nafasi ya kutoa maelezo kuhusu uwanja wa michezo uliopo katika mji unaoishi. Andika blogu itakayosomwa na watu duniani pote. Unapaswa kutaja: • Aina ya uwanja mjini kwako…
Answer this question and get it marked →'Tamasha la filamu la taifa lisionyeshe filamu kutoka nje ya nchi.' Je, unakubaliana na wazo hili? Andika makala katika gazeti la shule ili kutoa maoni yako. Makala yasizidi…
Answer this question and get it marked →