IGCSE Swahili (0262) — May–June 2024, Paper 01

6 questions · every question answerable online with instant point-by-point AI marking against the official mark scheme.

Start with Question 1 →
Question 1 · 8 marks

Jina mbadala la mbuyu ni?

Answer this question and get it marked →
Question 8 · 9 marks

Soma taarifa zifuatazo. Weka alama ya tiki (✓) kwenye kisanduku kuonyesha aya (A–D) inayohusiana na taarifa. Nani anasifu mapishi yake na kuyaamini sana? (A / B / C / D)

Answer this question and get it marked →
Question 17 · 9 marks

Andika maelezo mafupi chini ya kichwa cha habari kinachotokana na makala uliyoyasoma. Vitendo vya wazazi vilivyoshawishi upendeleo wa mapambo: (andika mambo matatu)

Answer this question and get it marked →
Question 20 · 10 marks

Sasa tunga ufupisho unaoonyesha faida na hasara za mapambo ya mazingira asilia. Unaweza kutumia maelezo yako mengine kutoka zoezi 3 ili kukusaidia. Ufupisho wako usizidi maneno…

Answer this question and get it marked →
Question 21 · 8 marks

Umepata nafasi ya kutoa maelezo kuhusu tamasha ulilohudhuria hivi karibuni. Andika blogu itakayosomwa na watu duniani pote. Unapaswa kutaja: • aina ya tamasha • shughuli…

Answer this question and get it marked →
Question 22 · 16 marks

'Lazima sote tuanze kula mboga tu na kuacha nyama.' Je, unakubaliana na wazo hili? Andika makala katika gazeti la shule ili kutoa maoni yako. Makala yasizidi maneno 200. Maoni…

Answer this question and get it marked →

← May–June 2023 Paper 01 · May–June 2025 Paper 02 →

← All IGCSE Swahili (0262) past papers