IGCSE Swahili (0262) — May–June 2023, Paper 01

6 questions · every question answerable online with instant point-by-point AI marking against the official mark scheme.

Start with Question 1 →
Question 1 · 8 marks

Vanessa Nakate aliahidi kujenga nini?

Answer this question and get it marked →
Question 7 · 9 marks

Soma taarifa zifuatazo. Weka alama ya tiki (✓) kwenye kisanduku kuonyesha aya (A–D) inayohusiana na taarifa. Nani anaishi mahali alipozaliwa? (A / B / C / D)

Answer this question and get it marked →
Question 16 · 9 marks

Andika maelezo mafupi chini ya kichwa cha habari kinachotokana na makala uliyoyasoma. Sababu zilizomfanya Roza Mahiri kuwekeza kwenye utalii wa anga: (andika mambo matatu)

Answer this question and get it marked →
Question 19 · 10 marks

Makala ya zoezi 3 yanazungumzia safari za angani. Sasa tunga ufupisho unaoonyesha faida na hasara za safari za kutalii anga. Unaweza kutumia maelezo yako mengine kutoka zoezi 3…

Answer this question and get it marked →
Question 20 · 8 marks

Umepata nafasi ya kutoa maelezo kuhusu urafiki. Andika blogu itakayosomwa na watu duniani pote. Unapaswa kutaja: • rafiki yako mpenzi • shughuli unazopenda kufanya na rafiki zako…

Answer this question and get it marked →
Question 21 · 16 marks

'Pesa ndiyo chanzo cha matatizo duniani'. Je, unakubaliana na wazo hili? Andika makala katika gazeti la shule ili kutoa maoni yako. Makala yasizidi maneno 200. Maoni yaliyotolewa…

Answer this question and get it marked →

May–June 2024 Paper 01 →

← All IGCSE Swahili (0262) past papers